CRISTIAN RONALDO ATAJA WACHEZAJI WA MPIRA WA MIGUU ANAOWAKUBALI.

Staa huyo ametaja list ya mastaa watano anaowakubali na anaamini watafika mbali katika soka, katika list hiyo Ronaldo amemtaja Memphis Depay wa Man United, Neymar wa FC Barcelona, Eden Hazard wa Chelsea, Paul Pogba wa Juventus na mchezaji chipukizi wa Real Madrid Martin Odegaard
No comments:
Post a Comment