Monday, March 14, 2016

 BASI LA LEINA TOURS LAPATA AJALI JANA KABLA YA KUSHUSHA ABIRIA UBUNGO.


Ni ajali ambayo ilitokea dakika 15 tu kabla ya basi hili kufikisha abiria kwenye kituo cha basi Ubungo Dar es salaam likitokea Kahama Shinyanga ambapo waliojeruhiwa kwa wakati huo walikua ni zaidi ya 30.

No comments:

Post a Comment