MANENO YA EDWARD LOWASA BAADA YA KUONA WANAO MUUNGA MKONO WANAENDELEA KUFUKUZWA CCM.
Edward Lowassa ameyasema yafuatayo >>> ‘Kuna mambo yanayotokea kule CCM nadhani wameumia kidogo na sasa wanaanza kulalamika Lowassa anavyowapotezea Ruzuku, lakini hivi karibuni kuna utaratibu wa kuwafukuza kwenye chama watu wanaotuhumiwa kuniunga mkono, wanaambiwa ondokeni kwenye chama mfateni Lowassa’
‘Nasikia kuna mipango mikubwa zaidi Rais Magufuli akikabidhiwa chama mwezi wa sita, kuna mipango mikubwa zaidi ya kuwaondoa kwenye chama…. sasa mimi nawaambia kwamba kuna maisha nje ya CCM, waje CHADEMA kuna maisha mazuri tu hapa…. wasibaki huko wananyanyaswa, waje tushirikiane hapa yanini kulialia?‘ –Edward Lowassa
No comments:
Post a Comment