Tuesday, March 15, 2016

SUGU AFUNGUKA KUHUSIANA NA MZIKI WA BONGO FREVA.
Image result for SUGU
Tunao wabunge kama Profesa Jay ambaye alitokea kwenye muziki lakini sasa hivi ni mbunge wa jimbo la Mikumi Morogoro, wiki iliyopita alisema mwaka anaweza akatoa ngoma mpya, March 15 katika exclusive interview na Amlifaya ya Clouds FM mbunge waMbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameeleza namna ambavyo muziki wa hip hop kwa sasa na kuhusu yeye kutoa ngoma.
“Mimi bado mwanamuziki hata juzi nilikuwa studio narekodi ngoma mpya ambayo itasikika hivi karibuni, zamani tulikuwa tunajivunia mistarii lakini sasa hivi ni mambo ya Branding tu, kutoa video kali basi, nimeona ngoma mpya ya Fid Q amebadilika na amejaribu kuendana na muziki wa sasa unavyotaka” >>> Sugu

No comments:

Post a Comment