Wednesday, June 22, 2016

Al-Shabab lakiri kumuua afisa wa usalama Somalia


Image copyrightAP
Image captionAl-Shabab
Wapiganaji wa Somalia al-Shabab wamesema kuwa ndio waliopanga njama za mauaji ya afisa mkuu wa usalama aliyeuawa na mlinzi wake kulingana na chombo cha habari cha Reuters.
Abdiweli Ibrahim Mohammed, mkuu wa usalama wa jimbo la kati ya Shebelle nchini Somalia alipgwa risasi hapo jana katika mji wa Jowhar takriban kilomita 90 kaskazini mwa mji mkuu wa Mogadishu.
''Muuaji wake alitoroka ,tunamtafuta'',alisema Ahmed Mohamud,akiongezea kuwa walinzi wake walijeruhiwa katika ufyatulianaji huo wa risasi.

No comments:

Post a Comment