Tuesday, June 14, 2016

Fiat wafuta vitabu vya mwongozo.


kampuni ya kutengeneza magari ya Fiat, imelazimika kufutilia mbali moja wapo ya vitabu vya muongozo vilivyokuwa vimetolewa nchini Argentina, kufuatia shutuma kutoka kwa kundi la kina mama.
Kampuni hiyo ya Fiat, kwenye kitabu hicho cha muuongozo ilitoa ushauri kwa dereva kutafuta dereva msaidizi wa kike lakini ahakikishe ameketi katika kiti cha nyuma ikiwa amevalia skati fupi, ili kuhakikisha kuwa dereva wa kiume amekuwa makini.

No comments:

Post a Comment