Watoto 6 wafa wakibatizwa Zimbabwe.
Polisi nchini Zimbabwe wamewatia mbaroni watu wawili ambao ni wafuasi wa dhehebu hilo la Kikristo.
Lakini
pia walimjumuisha mama mmoja ambaye alidai kwamba yeye ni nabii ambaye
alisema kwamba alifanya jaribio la kufufua wafu wakati wa ibada zake .
No comments:
Post a Comment