WABUNGE WA UKAWA WATOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE KWA STYLE NYINGINE.
Wabunge wa upinzani wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA, leo June 20 2016 wameendelea kutoka nje ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa mara nyingine tena, wabunge hao wametoka nje ya Bunge kwa style kuziba midomo ambapo wanasisitiza kuendelea kotokuwa na imani na naibu spika Dk. Tulia Ackson.
No comments:
Post a Comment