Tuesday, June 14, 2016

YANGA DAR AFRICANS TAANZA MAZOEZI USIKU WA JANA NCHINI UTURUKI ,KUJIANDAA DHIDI YA MO Bejaia.
IMG-20160614-WA0010
Klabu ya Dar Salaam Young Africans ambayo kwa sasa ipo Antalya Uturukiikijiandaa na mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya MO Bejaia ya Algeria, wameanza kufanya mazoezi ya usiku ilikukabiliana na hali ya baridi na ukilinganisha mchezo utachezwa usiku.



IMG-20160614-WA0009

IMG-20160614-WA0008
IMG-20160614-WA0006

No comments:

Post a Comment