SLADS BAGAMOYO: DIPLOMA TWO WATINGA FAINALI.
jana tarehe 18/5 uliendelea mchezo mwingine kati ya watani wa jadi DAR CAMPUS
na DIPLOMA TWO na mchezo huo ukamalizika kwa DIPLOMA TWO kuibuka na ushindi wa MAGOLI MAWILI KWA BILA. magoli hayo yalitiwa kimiani dakika ya tisa kipindi cha kwanza na DANIEL na kipindi cha pili dakika 37 na mshambuliaji FESTO EDWARD aliyeingia kipindi cha pili baada ya kuchukua nafasi ya mfungaji wa goli la kwanza DANIEL.mchezo ulionekana kubalansi sehemu zote mbili, huku dar campusi wakifanya mashamnulizi ya kushutukiza. mpaka mwamuzi GOODLUCK anapuliza kipenda cha mwisho DIPLOMA TWO 2 DAR CAMPUS 0. mchezo wa fainali itakuwa kesho siku ya ijumaa kati ya DIPLOMA 2 na CERTIFICATE kuanzia mida ya saa kumi mchana.
USIKOSE KUTEMBELEA TING MUGOA.COM KWA HABARI ZA KITAIFA NA KIMATAIFA, YOUTUBE.COM,FACEBOOK,INSTAGRA NA TWEETER KOTE HUKO NI TING MUGOA.
No comments:
Post a Comment