Thursday, May 19, 2016

       LIGI YA SLADS YATARAJIWA KUMALIZIKA LEO TEREHE 20/5/2015.


macho ya wanaSLADS na wapenzi wote wa kambumbu yatatauangazia uwanja wa chuo cha SLADS BAGAMOYO, ambapo leo itachezeka mechi ya fainali kati ya CERTIFICATE NA BINGWA MTETEZI DIPLOMA TWO, Mchezo huu utachezwa kuanzia saa kumi arasili katika kiwanja cha SLADS BAAMOYO. 
TUKUTANE KATIKA MATANGAZO YA MOJA KWA MOJA KUPITIA TING MUGOA CREW.


No comments:

Post a Comment