Wednesday, May 18, 2016

HISPANIA IMETANGAZA KIKOSI KITAKACHOSHIRIKI EURO 2016. NA NIMEKUWEKEA LIST YA MASTAA WALIOACHWA.
Bado zimebaki siku kadhaa kabla ya michuano ya mataifa ya Ulaya (EURO 2016) kuanza kuchezwa michuano ambayo hufanyika kila baada ya miaka 4, kwa mwaka 2016 michuano  hiyo inatarajiwa kufanyika Ufaransa, siku moja baada ya timu ya taifa ya Uingereza  kutangaza kikosi chake, Hispania wametangaza chao leo May 17 2016.
Hispania wametangaza kikosi cha wachezaji 25 lakini kuna list ya majina ya wachezaji kama Fernando TorresJuan MataSanti Cazorla wa Arsenal na Hector Bellerinwameachwa lakini walikuwa wanatarajiwa kuwepo  katika list ya kikosi hicho chaVicente del Bosque.
s
List ya majina ya wachezaji 25 walioitwa

No comments:

Post a Comment