leo ilikuwa ni mahafari ndogo ya kuwaaga wahitimu wa ngazi ya diploma na cheti chuoni SLADS, ambapo nafasi hiyo imetumika kuwaasa wahitimu kutotegemea ajira za mojakwa moja na hatimaye kutafuta nafasi nyingine za kujiajiri.
Ting Mugoa ninazi picha mbalimbali kutoka chuoni hapo.
MWADILI WA CHUO.
MITUPIO
No comments:
Post a Comment