Monday, May 16, 2016
SLADS BAGAMO: PENALTY KATI YA DIPLOMA 1 NA CERTIFICATE LEO TAREHE 16/05/...
NI SLADS INTERCLASES AMBAPO LEO IMECHEZEKA MECHI YA UFUNGUZI KATI YA CERTIFICATE NA DIPLOMA 1 AMBAPO MECHII HII IMEKUWA NI YA MTOANO VILEVILE, DAKIKA 90 ZILIMALIZIKA KWA TIMU HIZO KUFUNGANA GOLI MOJA KWA MOJA, GOLI LA DIPLOMA 1 LILITIWA KIMIANI MAPEMA MSHAMBULIAJI MATATA SCARD DAKIKA YA TISA KIPINDI CHA KWANZA NA GOLI LA KUSAWAZISHA LA CERTIFICATE LILITIWA KIMIANI NA FAHAAD DAKIKA YA TATU KIPINDI CHA PILI, NA NDIPO MUAMUZI AKAAMUA TIMU HIZO KUINGIA MATUTA. NA NDIPO CERTIFICATE WAKABAATIKA KUIBUKA NA USHINDI WA PENALT NNE KWA TATU. TUKUTANE SIKU YA JUMATANO PANAPO MAJARIWA IMBAPO DIPLOMA TWO WATAKUWA WACHUANA NA DAR CAMPUS. BIG UP KWA REPORTER WANGU WA NGUVU HUSEIN RASHID.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment