Saturday, May 21, 2016

SLADS BAGAMOYO. MANENO YA KOCHA WA TIMU YA DIPLOMA BAADA YA TIMU YAKE KU...



JANA SIKU YA IJUMAA LIGI YA CHUO CHA UKUTUBI SLADS BAGAMOYO ILITINGA KILELE BAADA YA KUWAKUTANISHA CERTIFICATE NA DIPLOMA TWO BINGWA MTETEZI KWA MISIMU MITANO, NA MCHEZO HUO UKAMALIZIKA KWA TIMU YA DIPLOMA TWO KUIBUKA NA USHINDI WA GOLI TATU KWA SIFURI, MAGOLI HAYO YALIFUNGWA NA FESTO, FREDY NA GOLI JINGINE WALIJIFUNGA MABEKI WA TIMU HII YA CERTIFICATE. 

MATANGAZO YA LIGI HII YA SLADS YALIKUWA YAKITANGAZWA NA TING MUGOA CREW KUTOKA MWAKA 2014 NA HATIMAYE JANA YAMEFIKIA TAMATI BAADA TA TING CREW KUHITIMU MASOMO YAO MSIMU HUU. BY THE WAY TING NAWAASA VIJANA WALIOBAKI KUENDELEZA PROJECT YA MATANGAZO YA MICHEZO YOTE INAYOFANYIKIA CHUONI HAPO, BILA KUOGOPA CHANGAMOTO YOYOTE ILE. KWA NIABA YA TING MEDIA CREW TUNATOA SHUKRANI ZA KIPEKEE KWA MAFANS NYOTE MLIOONYESHA SUPORT YENU TOKA MATANGAZO YAANZE. #NEVER GIVER UP.

No comments:

Post a Comment