Friday, May 6, 2016

WANACHUO CHA UKUTUBI BAGAMOYO WAKIJIANDAA NA LIGI.





wanamichezo wa chuo cha ukutubi na uhifadhi wa nyaraka SLADS wameanza mazoezi ya kujiandaa na ligi ya michezo mbalimbali itakayoanza tarehe 16 mwezi huu katika viwanja vya chuo hicho. na hizi ndio picha zilizobatika kunaswa na camera zetu.








WASICHANA;


                    


















            WAVULANA




TUKUTANE TAREHE 16 KWENYE MATANGAZO NA UCHAMBUZI AMBAPO HAYA YOTE UTAYAPATA KUPITIA TING MUGOA NEW SEASON NA WACHAMBUZI MAHILI MATIAS NA DULLAH.

No comments:

Post a Comment