MICHEZO KUTOKA CHUO CHA SLADS BAGAMOYO; NINAZO PICHA KUMI NA NNE ZA WANAFUNZI KUTOKA CHUO HICHO WALIOKUWA WANASHIRIKI MCHEZO WA LEO WA REDE.
leo katika chuo cha SLADS bagamoyo umefanyika mchezo mmoja wa ufumguzi wa michuano ya REDE mchezo unaowashirikisha wakina dada mbalimbali kutoka hostel zote za chuo hicho, na mchezo wa leo ulikuwa ni kati ya GALUGA HOSTEL na HOETEL YA CHUO ambapo mpaka mchezo huo unamalizika DALUGA WANAONGOZA KWA GOLI MOJA NA HOSTEL YA CHUO 0.
WASHINDI WA MCHEZO WA LEO KABLA YA MCHEZO (DALUGA)
MASHABIKI NA WACHEZAJI KBLA YA MECHI.
WACHEZAJI WA HOSTEL YA CHUO.
MASHABIKI.
big up kwa reporter wangu wa nguvu ASHURA. kwa habari hii.
No comments:
Post a Comment