Wednesday, January 13, 2016

SLADS BAGAMOYO: WABABE WA LIGI YA MPIRA WA MIGUU WA CHUO CHA SLADS WANYUKWA GOLI MBILI BILA.

                                     WASHINDI WA MCHEZO WA LEO ( diploma one pink)




leo tarehe 3/1/2016 umechezeka mchezo wa kirafiki kati ya mabingwa wa ligi hiyo, DIPLOMA TWO GREEN na DIPLOMA ONE PINK, ambapo wababe hao wamefungwa goli mbili bila. goli la kwanza lilifungwa na SCARD na goli la pili likawekwa kimiani na AMOUR. mpaka mwamuzi anapuliza kipenga cha mwisho DIPLOMA one goli 2,  na DIPLOMA two 0.

                                                DIPLOMA TWO GREEN.


MASHABIKI.



No comments:

Post a Comment