Friday, January 15, 2016

MKUU WA CHUO CHA UKUTUBI NA UHIFADHI  WA NYARAKA MH; ZUBERI HATIBU NA VIONGOZI WOTE WA CHUO WAWAASA WANAFUNZI WA CHUO HICHO KUJIHEPUSHA NA TABIA MBOVU.

                                            mkuu wa chuo ( mh: ZUBERI HATIBU)




leo tarehe kumi na tano umefanyika mkutano kati ya viongozi wa chuo hicho na wanafuzi, ambavyo mkutano huo umetumika kutoa husia kwa wanafunzi woote ambao tabia zao sio nzuri hivyo kuwaomba wanafunzi hao kubadilika haraka iwezekanavyo, na tabia hizo zikiendelea sheria zitachukua mkondo wake.


                                                     uongozi mzima wa chuo.

wanafunzi.



3 comments: