WILIAM LIKUVI
wazili wa nyumba na makazi mheshimiwa WILLIAM LIKUVI leo tarehe 13/01/2016 amezungumza na wakazi wa bagamoyo katika viwanja vya shule ya msingi majengo, ambapo alitoa nafasi kwa wananchi kufikisha kero zao za ardhi moja kwa moja kwa mheshimiwa huyo, na ndipo akaiomba idara husika kushughulikia kero zote zinazoweza kushughulikiwa na idara hiyo.
MBUNGE WA JIMBO LA CHALINZE. (Ridhiwani Kikwete)
WANANCHI.
No comments:
Post a Comment