TAARIFA ZIKUFIKIE KWAMBA CLUB YA ( Library and Information Movement Club). INAYOUNDWA NA WANACHUO WA SLADS BAGAMOYO WIKI HII WAMEFANYA ZIARA YAO KATIKA SHULE YA SEKONDARI DUNDA. nia na madhumuni soma taarifa hadi mwisho.
WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI WAO BRANDY MUSHI.
Wanafunzi wa chuo cha ukutubi na uhifadhi nyaraka (SLADS) kupitia Club ya wanafunzi Library and Information Movement Club wameanza ziara zao rasmi katika kuelimisha na kuhamasisha jamii juu ya matumizi na umuhimu wa kutumia maktaba katika kufanikisha shughuli zao, na hii ni ziara yao ya kwanza waliyoifanya katika shule ya sekondari Dunda iliyopo Ukuni bagamoyo.
by reporter wangu wanguvu Brandy.
No comments:
Post a Comment