Mjue Aliyemuibua Undertaker kwenye mchezo wa mieleka, WWE.
Jamaa anaitwa William Moody maarufu kama Paul Bearer ni meneja ambaye anatisha kwam kuibua vipaji ndani ya WWE ambaye alisaidia kumtambulisha The Undertaker katika ulimwengu wa mieleka kwa sasa ni Marehemu alifariki akiwa na umri wa Miaka 58
Bearer alijiunga na WWE mwaka 1990 ambapo alichukua jukumu la umeneja akiwasimamia nyota kadhaa wa mieleka wakiwamo Undertaker, Kane, Rick Rude, Vader na Mankind na wengi9ne wengi walioweza kubadilisha historia nzima ya mieleka katika WWE.
Moody alianza majukumu yake katika mieleka ya WWE mwaka 1991 kama meneja wa Undertaker na aliendelea hadi kufikia kuwa kiungo cha kukumbukwa ya WWE katika kipindi cha miaka 20 iliyofuata.
No comments:
Post a Comment