Monday, February 22, 2016

Baada ya ushindi wa Yanga wa goli 2-0 dhidi ya simba haya ndiyo maneno yaliyotolewa na msemaji wa timu hiyo.

20160222_120157-1

katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa uwanja waTaifa Dar Es Salaam Jumamosi ya February 20, uwanja wa Taifa Dar Es Salaam dhidi ya watani zao wa jadi klabu ya Simba, klabu hiyo imetoa taarifa ya mipango yao mipya kuelekea mchezo wake wa FA Cup dhidi ya klabu ya JKT Mlale na mchezo wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya CERCLE DE JOACHIM utakaochezwa Jumamosi ya February 27 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. Hii ndio taarifa rasmi ya mkuu wa idara ya habari wa klabu hiyo Jerry Muro.

No comments:

Post a Comment