SIMBA NA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.
ligi kuu vodacom tanzania bara, ambapo leo ligi hiyo inawakutanisha watani wa jadi simba na yanga mchezo huo utaanza saa kumi alasili katika uwanja wa taifa jijini dar es salaam, kila sehemu ukipita jijini dar es salaam umekuwa ukikutana na watu mbalimbali huku wakiwa wamevalia jezi za timu zao, alikadhalika na daladala zikiwa zimefungwa bendera za timu hizo kuonyesha kwamba mchezo huo umezikonga nyoyo za wapenzi hao wa mpira.
No comments:
Post a Comment