Wednesday, February 17, 2016

JAMBAZI MMOJA AMEUAWA NA NA WAWILI KUKAMATWA TAZARA.





ni katika tukio la wizi lililowahusisha wajambazi watatu, imesemekana kuwa majambazi hao walimpora raia mmoja begi la pesa katika jengo la uchumi na kukimbia nalo kwa kutumia usafiri wa pikipiki, majambazi hao walikimbizwa na bodaboda mpaka TAZARA kabla ya njia panda barabara ya kutokea UCHUMI. ndipo majambazi hao walizidiwa na mmoja kupigwa na kufa na mwingine akakamatwa, ndipo aliyekuwa na pesa akaweza kuingia kwenye geiti la kiwanda kilichopo pembeni hapo na kuanza kujibizana kwa risasi na askari, jitiada zimefanyika mpaka jambazi huyo akaweza kukamatwa.






No comments:

Post a Comment