Wednesday, February 24, 2016

TANZANIA YAPATIKANA GESI NYINGINE.

Image result for GESI

Baada ya hedlines za muda mrefu kuhusu kugundulika kwa gesi Mtwara, kumbe utafiti ulikuwa unaendelea maeneo mengine ya Tanzania kuweza kubaini kama kuna sehemu nyingine yenye gesi. Leo Feb 24 Serikali imekuja na habari mpya kwa Watanzania kupitia kwa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo kwamba Gesi imegunduliwa na wawekezaji Ruvu mkoani Pwani.‘kule Ruvu wamegundua gesi na tutaitumia ni vizuri kwa huko Ruvu tutaona tutaitumiaje’

No comments:

Post a Comment