Friday, February 26, 2016

TCU YAHAMIA ARUSHA NA SAKATA LA KUVIFUTIA VIBALI VYUO VISIVYO KIDHI.
Image result for mt.Yosefu university
February 26 2016 taarifa kutoka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)ilikuwa ni hii ya kukifutia kibali Chuo Kikuu cha Mt. Yosefu Tanzania (SJUIT), kampasi ya Arusha na kuwahamisha wanafunzi wote waliokuwa wanasoma katika kampasi hiyo kwa gharama za Chuo hicho.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu nchini Prof. Yunus Mgaya amesema ‘Kwa muda mrefu na kwa wakati tofauti kumekuwapo na matukio ya migogoro baina ya uongozi wa Chuo na Wanafunzi, Kwa kipindi hicho chote tumekuwa tukifuatilia kwa ukaribu chimbuko la migogoro hiyo na kuchukua hatua stahiki

No comments:

Post a Comment