MSANII WA BONGO FLEVA JOHN WOKA AFARIKI DUNIA.
Msanii John Woka toka kundi la watukutu amefariki dunia alfajiri ya february 16 John woka ambaye alitamba na ngoma zake kali kama mganga,hii kitu hii na kupendwa na mashabiki kwa style yake ya kurap kama mlevi.
john woka amefariki baada ya kupata ajali wakati anatengeneza gari maeneo yasinza katika mfumo wa Ac inasemekana kuna kitu kilivyetuka baada ya kufungua Ac na kumpiga kwenye paji la uso na kuingia kama nchi 3 au 2 kwahiyo damu nyingi iliweza kumwagia ndani ya kichwa mpaka anafikishwa hospitali Woka alikuwa katika chumba cha ICU kwa kuwa hali yake ilikuwa mbaya.
No comments:
Post a Comment