Hizi ndio rekodi 4 za nguvu alizoweka Rais Magufuli siku ya alhamis
Leo ni siku ya alhamisi, November 26 2015… nimeinasa hii ripoti exclusive kabisa iliyoripotiwa na kituo cha Clouds TV, kama ulikuwa hujui basi kuna rekodi kubwa na za nguvu kabisa ambazo zinaihusu siku ya alhamisi na Rais John Pombe Magufuli.
Hapa nakuchambulia mdogomdogo mtu wangu, mwanzo mpaka mwisho wa rekodi zenyewe.
1:>> Rais Magufuli alizaliwa October 29 1959, ilikuwa ni siku ya alhamisi.
2:>> October 29 2015 ni siku ambayo alitangazwa kuwa Rais wa Tanzania… ilikuwa alhamisi pia.
3:>> Siku ya alhamisi November 05 2015 Rais Magufuli aliapishwa kushika wadhifa wa Urais wa Tanzania, Ikulu Dar es Salaam.
4:>> November 19 2015, Rais Magufuli alimteua Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
No comments:
Post a Comment