SLADS BAGAMOYO. SLADS INTER CLASSES:
hii ni kutoka chuo cha ukutubi na uhifadhi wa nyaraka ambapo jana michuano ya michezo mbalimbali iliendele na leo tumeshudia DIPLOMA 1 PINK wakiibuka washindi dhidi ya CERTIFICATE GREEN . kwa jumla ya magoli manne kwa mawili.
diploma 1pink
ligi hiyo itaendelea leo kwa mchezo mwingine mmoja kati ya watani wa jadi na hawa sio wengine ni DIPLOMA 2 GREEN na DIPLOMA 2 PINK.
MAKE SURE HAUKOSI, POINT YA MSINGI HENDELEA KUWA KARIBU NA TING MEDIA KUPITIA FACEBOO, YOUTUBE NA TINGMUGOA.BLOGSPOT.COM
certificate green
wahamuzi waliochezesha mchezo huo.
No comments:
Post a Comment