Friday, November 20, 2015

PENALT KATI YA DAR CAMPUS NA DIPLOMA 1 PINK: SLADS interclass jana imeendelea kwa mchezo mmoja wa nusu fainali kati ya dar campus na diploma 1 ambapo dakika 90 zilimalizika kwa timu hizo kufungana goli moja kwa moja, na ndipo timu hizo zikaingia hatua ya matuta na ndipo dar kampus wakaibuka kidede akwa penalt sita kwa tano.

No comments:

Post a Comment