Saturday, November 14, 2015

SPORTS: TAIFA STARS YALAZIMISHWA SARE NA TIMU TA TAIFA YA ALGERIA.

ni mchuano wa kuwania tiketi ya kushiriki kombe la dunia ambapo timu ya taifa ya TANZANIA TAIFA STARS ilikuwa ikicheza na timu ya taifa ya ALGERIA KATIKA UWANJA WA TAIFA WA Tanzania , ambapo mchezo huo umemalizika kwa timu hizo kufungana magoli mawili kwa mawili, TAIFA STARS ilianza kuliona lango la ALGERIA kipindi cha kwanza na kipindi cha pili, na ndipo ALGERIA waliamka na kusawazisha magoli hayo mawili mpaka mpira unamalizika TAIFA STARS 2 , ALGERIA 2.

No comments:

Post a Comment