taarifa zikufikie popote pale ulipo kuwa timu ya mpira wa miguu ya DIPLOMA 1 GREEN leo imeyaaga mashindano lasmi baada ya kupokea kichapo cha magoli mawili bila kutoka timu ya
CERTIFICATE GREEN.
chezo huo ulikuwa ni mchezo wa piga nikupige, diploma 1 walijalibu kupata nafasi mbalimbali za kupata magoli lakini haikuwa hivyo.
MASHABIKI
PANAPO MAJALIWA TUKUTANE KESHO.
No comments:
Post a Comment