Friday, November 13, 2015

SLADS BAGAMOYO: PINK DIPLOMA TWO WAMUONDOA CERTIFICATE PINK MASHINDANONI.

certificate pink.
 ligi ya SLADS inter class leo imeendelea kwa mchezo mmoja kati ya DIPLOMA 2 PINK na CERTIFICATE pink , ambapo DIPLOMA wamehibuka kidedea kwa magoli matatu bila, magoli hayo yalifungwa na masudy ambaye amefunga goli mbili na goli la tatu likawekwa kimiani na peter. mpaka mpira unamalizika PINK DIPLOMA 2 MBILI na CERTIFICATE HAWAKUPATA KITU. CERTIFICATE wameyaaga mashindano hayo bila point yoyote baada ya juma tano kupokea kipigo cha goli mbili kutoka kwa DIPLOMA 2 GREEN.

ENDELEA KUWA KARIBU NA TING MUGOA kupitia facebook na youtube.com.
 

No comments:

Post a Comment