Tuesday, November 17, 2015

SLADS INTER CLASSES: DIPLOMA 2 PINK WAPOKEA KICHAPO KUTOKA KWA WATANI WAO WA JADI DIPLOMA 2 GREEN.


SLADS interclasses imeendelea leo kwa mchezo mmoja uliowakutanisha watani wa jadi diploma 2 green na diploma two pink, ambapo diploma 2 green wameweza kuibuka kifua mbele kwa magoli matatu bila. magoli hayo yamewekwa kimiani na FREDY KIVIKE, DANNY na ISSACH.

No comments:

Post a Comment