Kiongozi wa shambulizi la Paris 'alikuwa mlevi'
Mshukiwa
aliyeongoza mashambulio ya kigaidi mjini Paris Abdelhamid
Abaaoud,alionekana akinywa pombe na kuvuta bangi na watu wengine nje ya
nyumba yake baada ya mauaji hayo.
Walonekana wakivuta bangi na kunywa pombe, ''huonekana katika
barabara kila mara..sasa nawajua,sasa nawajua'', mmoja ya mashahidi
alikiambo chombo cha habari cha Sky News.
Shahidi mwengine
aliliambia gazeti la Daily Mail nchini Uingereza :''Alikuwa barabarani
na chupa ya pombe aina ya whiskey na aliniomba ninywe''.
''Niligundua kwamba alikuwa mtu wa iana gani baadaye''.
Abaaoud aliuawa wakati wa uvamizi wa polisi katika nyumba yake iliopo St. Denis siku ya Jumatano.
No comments:
Post a Comment