siku ambayo ilikuwa ikisubiliwa na wengi imefika, sio nyingine ni siku ya fainali ya SLADS INTER CLASS ,FAINALI HIYO ITAZIKUTANISHA TIMU MBILI ambazo ni DAR CAMPUS na DIPLOMA TWO GREEN kutoka BAGAMOYO CAMPUS washindi wa ligi hiyo kwa misimu minne mfurulizo.
mchezo huo utachezwa saa kumi arasili katika viwanja vya CHUO CHA SLADS BAGAMOYO, siku ya leo tarehe 24/11/2015.
No comments:
Post a Comment