jana tumeshuhudia fainali ya mpira wa miguu kati ya watani wa jadi DIPLOMA TWO GREEN na DAR CAMPUS, mchezo huo ukiwa ni mchezo wa kumtafuta bingwa wa ligi hiyo, mchezo huo ulikuwa ni wakukata na shoka lakini kadri mda ulivyo zidi kwenda DIPLOMA TWO GREEN walionyesha kubadilika na kuwasoma watani wao,
na ndipo dakika ya 44 kipindi cha kwanza mchezaji machachali FREDY KIVIKE akaipatia timu yake golim la kwanza, na goli la pili likawekwa kimiani na TEAM CAPTAIN DULLAH DAKIKA YA 21 kipindi cha pili na goli la tatu likafungwa na ISSACK dakika ya 33 kipindi cha pili,. mpaka mwamuzi anapuliza kipenga cha mwishi DIPLOMA TWO GREEN 3 na DAR CAMPUS 0.
MATANGAZO YOTE YA LIGI YALILETWA KWENU NA TING MUGOA KWA UDHAMINI MKUBWA WA VODACOM TANZANIA, KIBELA GENERAL INTETRPRISES na PRO SIGNS.
BIG UP KWANU NYOOTE MLIOONYESHA USHIRIKIANO WENU JUU YA TING MEDIA.
No comments:
Post a Comment