Friday, November 20, 2015

SLADS BAGAMOYO: TUME HURU YA UCHAGUZI SLADSSO YATANGAZA MAJINA YA WATAKAO GOMBEA NAFASI MBALILI KUTOKA SERIKALI YA WANAFUNZI (sladsso).

hii ni kutika katika chuo cha ukutubi na uhifadhi wa nyaraka SLADS ambapo tume huru ya uchaguzi SLADSSO imetangaza majina ya wagombea mbalimbali watakao gombea nafasi mbali mbali chuoni hapo.

MAJINA YA WANAOGOMBEA NAFASI YA URAIS
 
1. JAMES KALUGASHA 
2.ATHUMANI A MADIGA

MAJINA YA WANAOBOMBEA NAFASI YA MAKAMU WA RAIS

1.HAPPY AGUSTINO
2.DAFROZA MEEENA

MAJINA YA WAGOMBEA NAFASI YAWAZIRI MKUU

1. JACOB ULIMWENGU
2. MOHAMED MBWAMBO

No comments:

Post a Comment