Vitu 12 vya Rais Magufuli Bungeni ambavyo nimeona visikupite.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli amelihutubia Bunge leo November 20 2015 Dodoma kwa mara ya kwanza tangu ameapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano.
Hapa ninazo nukuu chache nilizozipata nikazisogeza kwenye #Tweets wakati wa hotuba yake.
Rais MAGUFULI # Maeneo yanayolalamikiwa kwa rushwa ni mengi,TAMISEMI kwa ubadhirifu wa fedha za umma, bandari,TANESCO,TRA #MillardAyoUPDATES
— millard ayo (@millardayo) November 20, 2015
Rais MAGUFULI #Inanibidi
haya yote niyataje ili nijue tunaanzia wapi na tunakwenda wapi,
nisipoyataja nitakuwa mnafiki -MillardAyoUPDATES — millard ayo
(@millardayo) November 20, 2015
Rais MAGUFULI #Maeneo mengine yanayolalamikiwa ni Polisi, hospitali, mizani, mahakama, maliasili, vilio vya wachimbaji -MillardAyoUPDATES
— millard ayo (@millardayo) November 20, 2015
Rais MAGUFULI #Viko
viwanda vingine wanafugia mbuzi wakati walipewa kwa madhumuni ya
kuviendeleza, tutavichukua haraka -MillardAyoUPDATES — millard ayo
(@millardayo) November 20, 2015
Rais MAGUFULI #Kodi ambazo hatuzikusanywi ni nyingi, niwatake viongozi walisimamie hili ikiwemo kutenga maeneo maalum -MillardAyoUPDATES
— millard ayo (@millardayo) November 20, 2015
Rais MAGUFULI #Kuanzia
January ninaposema elimu bure namaanisha bure, na sio waanze kuweka
michango ya ajabu ajabu -MillardAyoUPDATES — millard ayo (@millardayo) November 20, 2015
Rais MAGUFULI #Mimi nimewaahidi wananchi wangu kwamba nitapambana na rushwa na ufisadi bila haya kwa mtu yeyote -MillardAyoUPDATES
— millard ayo (@millardayo) November 20, 2015
Rais MAGUFULI #Nimeahidi
kuunda mahakama ya rushwa na ufisadi,naamini hawataniangusha katika
hili, sitakuwa na kigugumizi -MillardAyoUPDATES — millard ayo
(@millardayo) November 20, 2015
Rais MAGUFULI #Nataka iwe ‘Kazi tu’ hatuwezi kulea watu ambao wanalipwa mishahara tu wakati hawafanyi kazi yoyote
No comments:
Post a Comment