Pichaz mwanzo mwisho mshindi wa Miss Universe 2015 TZ alivyopatikana Dar !!
Usiku wa November 20 2015 ulimwengu wa urembo Tanzania umeandika historia nyingine kubwa na nzuri ambapo mrembo mmoja aliibuka na ushindi wa taji la Miss Universe 2015 !! anahesabu siku chache tu kugusa stage ya Miss Universe duniani !
List ya warembo waliogusa TOP 3 ya Miss Universe 2015 ilikuwa hivi:
Hapa ninazo picha kuanzia red carpet mpaka mwisho alivyopatikana mshindi.
No comments:
Post a Comment