Saturday, November 14, 2015

SLADS BAGAMOYO: MAHAFALI YA 21 KUTOKA CHUO CHA UKUTUBI NA UHIFADHI NYARAKA  (SLADS) YAFANYIKA LEO HII.


















hii ni kutoka bagamoyo ambapo chuo cha ukutubi na uhifadhi wa nyaraka leo hii kumefanya maafali ya 21 ya  kuwaaga wahitimu wangazi ya diploma na certificate.

wahitimu ngazi ya diploma.














wahitimu ngazi ya certificate.














maafaliu hayo yalihudhuliwa na watu mbalimbali wakiwemo wageni kutoka wizara ya elimu. maafali hayo yalifanyika kwa amani mbali na kwamba nvua ilinyesha hasubuhi lakini haikuathili chochote.
ninazo picha za warembo walioweka kutisha siku ya leo katika maafali hyo.

KHADIJA & ZENA.



































 VIDEO ZOTE ZINAPATIKANAKUPITIA TOUTUBE/TING MUGOA.

No comments:

Post a Comment