Wednesday, November 11, 2015

DIPLOMA 2 GREEN WAANZA VIZURI MICHUANO YA SLADS INTER CLASS:

ni baada ya kuifunga timu ya certificate pink magori mawili kwa bila, magoli hayo yalifunga katika kipindi cha kwanza dakika ya ishirini na moja na kipindi cha pili dakika ya ishirini ya nne na mshamuliji FREDY KIVIKE, 

MFUNGAJI WA MAGOLIM YOTE FREDY KIVIKE. 

 mchezaji huyo anayependa kuvalia jezi namba tisa mgongoni amekuwa akitwaa ushindi wa mfungaji bora kwa misimu yote mnne ambayo timu yake imeshiriki.







certificate pink.


 wachezaji wa certificaten waliaanza kwa kujituma na nimezungumza na kocha wao ambapo amesema mpaka hapo timu yake iko vizuri maana ndo mara yao ya kwanza kushiriki michuanao hiyo.

No comments:

Post a Comment