ligi ya chuo cha SLADS inayowakutanisha wachezaji wa diploma2 , diploma1, na certificate itaanza kutimua vumbi leo saaa kumi alasili kutoka katika viwanja vya chuo hicho.mechi ya ufumbuzi itakuwa ni kati ya mabingwa wa ligi hiyo kwa mara nne nao ni DIPLOMA 2 GREEN na DIPLOMA 1 PINK.
diploma 2 green wakiwa mazoezini jana.
ratiba ya ligi mishezo yote:
TING MUGOA NA TEAM YANGU TUTAKUWEPO KUHAKIKISHA TUNAKUPA MATANGAZO YA LIVE KUTOKA VIWANJA VYA CHUO HICHO.
SHUKRANI YA PEKEE ZIWAFIKIE WADHAMINI WETU: VODACOM TANZANIA NA PRO SIGNS.
POINT YA MSINGI TUPIA COMENT YAKO THEN TUANZA NAYO UWANJANI,
WADAMINI WA TING MUGOA MEDIA.
No comments:
Post a Comment