Wakati zikiwa zimebaki siku tano ligi ya chuo cha SLADS BAGAMOYO ianze
kutimua vumbi, mabingwa wa ligi hiyo kwa mara nne mfurulizo DIPLOMA 2
GREEN wameanza mazoezi yao hapo jana na leo walikuwa na kikao kwa ajiri
ya maandalizi.
:
Ujumbe mkubwa uliotolewa na baadhi ya viongozi na wachezaji wa timu hii ni kutaka kushuhudia timu zote zikicheza kwa kujituma.
No comments:
Post a Comment