MO MUSIC KUFIKISWA MAHAKAMANI DODODMA.
Mwimbaji wa hit single ya ‘basi nenda‘ ambaye sasa hivi anapata airtime kubwa ya Radio kupitia single ya ‘skendo‘ Mo Music, anasema mwaka 2015 kwake umemalizika na huzuni baada ya kushtakiwa Mahakamani kwa kisa kilichoanzia kwa Mwanamke, kesi yake imetajwa December 21 2015.
Alikua ni mpenzi wake wa zamani, toka wameachana ni zaidi ya miezi nane imepita na Mwanamke huyo alikwenda kwa Mwanaume mwingine na kuchukua mamilioni ya pesa alafu mwishoni Mo Music amekuja kutajwa kuhusika na upoteaji wa hizo pesa,
No comments:
Post a Comment