Ripoti kutoka Mahakama ya Kisutu kuhusu kesi ya Prof. Lipumba na wafuasi wake 30
Professor Ibrahim Lipumba
alikuwa na kesi pamoja na wafuasi 30 wa CUF katika Mahakama ya Kisutu
Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka ya kufanya mkusanyiko bila ya kuwa
na kibali cha Polisi.
Kesi hiyo ilianza kusikilizwa toka January 2015, ninayo ripoti kutoka kwenye taarifa ya habari ya ITV kwamba Prof. Lipumba na watu wote 30 wamefutiwa mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili Mahakamani hapo.
No comments:
Post a Comment