Tuesday, December 22, 2015


WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO  Nape Nnauye AZUNGUMZIA WASANII WA BONGO KULIPWA KUTOKANA NA NYIMBO ZAO KUPIGWA KATIKA VITUO VYA RADIO NA TELEVISION.
Tumekuwa tukishuhudia au kusikia baadhi ya wasanii wa ng’ambo wakinufaika kwa namna tofauti katika sanaa zao kwa kupitia nyimbo zao kuchezwa kwenye vituo vya Radio na Tvkisha kulipwa mkwanja mrefu na kukuza uchumi kupitia vipaji vyao.
Sasa leo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ana haya ya kukufahamisha kuhusu wasanii wa Bongo kulipwa pamoja na namna gani ya kuyakusanya mapato hayo.

No comments:

Post a Comment