Friday, December 18, 2015

                      YANGA YAFANYA UTAMBULISHO WA MCHEZAJI WAKE MPYA                                                                            TOKEA NIGERIA.





Headlines za ujio wa kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Niger aliyesajiliwa na klabu yaDar Es Salaam Young African Issoufou Boubacar Garba zilichukua nafasi sana katika vyombo vya habari, ila jioni ya December 15 uongozi wa klabu ya Dar Es Salaam Young African ulithibitisha kumsajili mchezaji huyo kwa mkataba wa miaka miwili, licha ya taarifa za awali kudai kuwa mchezaji huyo kasajiliwa kwa mkataba wa mwaka mmoja. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee pichaz sita za utambulisho wa Issoufou Boubacar Garba.

No comments:

Post a Comment