Friday, November 6, 2015

TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA CHUO CHA SLADS YAZIDI KUNGAA.

ni baada ya timu hiyo kuifunga timu ya IKULU FC kutoka BAGAMOYO, timu zote zikitokea BAGAMOYO, timu ya chuo cha SLADS imeibuka kifua mbele baada ya kuwachalaza IKULU fc kwa magoli matatu kwa moja, magoli ya SLADS yote matatu yakiwekwa kimiani na mshambuliaji machachali anayeenda kwa jina la FREDY KIVIKE.






FREDY KIVIKE. mfungaji wa magori yote matatu.



















 TING MUGOA tunapatikana kupitia facebook.com/TING MUGOA
                                                                Youtube.com/TINGMUGOA
                                                                TINGMUGOA.BLOGSPOT.COM

No comments:

Post a Comment